SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA SAHIH BUKHARI NA MUSLIM Sehemu ya 3

Muhtasari wa hadithi mbili zilizozungumziwa katika sehemu ya pili iliyopita.Hadithi ya tatu ni hadithi namba 6202 kutoka ndani ya Sahih Muslim ikisema:”Hakika Fatima ni sehemu ya Mwili wangu, linaniudhi lolote lile linalomuudhi Fatima -s.a-“.Ghadhabu za F

Muhtasari wa hadithi mbili zilizozungumziwa katika sehemu ya pili iliyopita.Hadithi ya tatu ni hadithi namba 6202 kutoka ndani ya Sahih Muslim ikisema:”Hakika Fatima ni sehemu ya Mwili wangu, linaniudhi lolote lile linalomuudhi Fatima -s.a-“.Ghadhabu za Fatima (s.a) ni Ghadhabu za Mtume (s.a.w.w) na Ghadhabu za Mtume (s.a.w.w) ni Ghadhabu za Mwenyeezi Mungu (s.w).Na wanaomuudhi Mwenyeezi Mungu na Mtume wake hakika wamelaaniwa duniani na akhera.Suratul Ahzabi-Aya ya 57.

Add new comment