FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 16

Mwenyeezi Mungu (s.w) ameviumba viumbe vyake na kuvipatia sura mbalimbali na maumbile tofauti tofauti si kwa lengo lingine ispokuwa ni kwa ajili ya kuthibitisha na kudhihirisha Hekima yake katika uumbaji na kuthibitisha Nguvu yake kubwa aliyonayo katika U

Mwenyeezi Mungu (s.w) ameviumba viumbe vyake na kuvipatia sura mbalimbali na maumbile tofauti tofauti si kwa lengo lingine ispokuwa ni kwa ajili ya kuthibitisha na kudhihirisha Hekima yake katika uumbaji na kuthibitisha Nguvu yake kubwa aliyonayo katika Uumbaji wake wa viumbe vyake; na kwamba Anaumba atakavyo na Apendavyo.Rejea Suratur-Rum Aya ya 54.Na suratul-Maida Aya ya 17.

Add new comment