فیلم

SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA SAHIH BUKHARI NA MUSLIM Sehemu ya 3
Muhtasari wa hadithi mbili zilizozungumziwa katika sehemu ya pili iliyopita.Hadithi ya tatu ni hadithi namba 6202 kutoka ndani ya Sahih Muslim ikisema:”Hakika Fatima ni sehemu ya Mwili wangu, linaniudhi lolote lile linalomuudhi Fatima -s.a-“.Ghadhabu za F
SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA SAHIH BUKHARI NA MUSLIM Sehemu ya 3
Enyi mlioamini! Ni kwa nini mnayasema msiyoyatenda.Inachukiza vikubwa mno kwa Mwenyeezi Mungu kuwa mnayasema yale msiyoyatenda.Fatima (s.a) alifanya nini Abubakar alipokataa kumrudishia Fadak yake?!.Je,Abu Bakar alihudhuria Mazishi ya Sayyidat Fatima (s.a
SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA SAHIH BUKHARI NA MUSLIM Sehemu ya 4
Omar Bin Khattab anaweka wazi: Mtazamo wa Masahaba wawili yaani Imam Ali (a.s) na Abbas Ami ya Mtume (s.a.w.w) juu ya Abubakar na mwenyewe Omar ya kwamba: Walikiwaona kuwa wao ni waongo, watenda dhambi, wadanganyifu, na wenye kufanya usaliti na khiyana ka
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 11
Muhtasari wa sehemu iliyopita.Kuikataa kauli na madai ya Sayyidat Fatima (s.a) ni kuikataa kauli ya Menyeezi Mungu (s.w) kama ilivyo katika Ayatut-Tat-hiri.Kumpenda Sayyidat Fatima (s.a) ni jambo la wajibu na sio ombi. Sayyidat Fatima (s.a) anawawakilisha
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 13
Himidi zote ni zake Mwenyeezi Mungu (s.w) kutokana na Neema zake mbalimbali kwa Mwanadamu.Na himidi zote ni zake Allah (s.w) kutokana na Neema zake za jumla alizoziumba mwanzo kwa ajili ya kuja kumkirimu kwazo mwanadamu kabla hata ya kumuumba mwanadmu.Maa
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 14
Neema za Allah (s.w) ni nyingi mno na ni pana kiasi kwamba ni vigumu kuzitaja zote na kuzihesabu.Atashindwa kuzihesabu mwenye kuzihesabu neema hizo.Tunachotakiwa sisi ni kumshukurua Mola wetu kwa Neema alizotupatia na kutuneemsha na kuzikumbuka neema hizo
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 15
Mwenyeezi Mungu amezifanya nyoyo za wanadamu kuwa ndizo zinazobeba Neno la Tawhidi au ndio zinazo beba matokeo ya Neno hili la zito la Tawhidi.Na hii ni kwa kuwa nyoyo ndizo zinazompwekesha Mwenyeezi Mungu (s.w).Mwenyezi Mungu (s.w) haonekani kwa macho la
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 16
Mwenyeezi Mungu (s.w) ameviumba viumbe vyake na kuvipatia sura mbalimbali na maumbile tofauti tofauti si kwa lengo lingine ispokuwa ni kwa ajili ya kuthibitisha na kudhihirisha Hekima yake katika uumbaji na kuthibitisha Nguvu yake kubwa aliyonayo katika U
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 17
Allah (s.w) alimchagua na kumteua Mtume Muhammad (s.a.w.w) na kumpa kazi ya Utume kabla ya kumchagua kuwa Mtume,na aliteuliwa kuwa Mtume wakati ule ambao viumbe vyote walikuwa hawajui lolote wala kufahamu lolote kuhusiana na mambo ya Ghaibu na walikuwa wa
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 18
Mtume (s.a.w.w) pindi alipotumwa alikuta Umma ukiwa katika hali ya kugawanyika na kutofautiana,hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia masanamu,na hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia moto.Masanamu waliyoyachonga
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 19
Mtume (s.a.w.w) baada ya kuufikisha vyema ujumbe wa Mwenyeezi Mungu (s.w) au ile amana aliyopewa na Mwenyeezi Mungu (s.w) kuifikisha kwa waja wake, kilichofuatia ilikuwa ni kuelekea kwa Mola wake Mtukufu ambapo Allah (s.w) aliichukua Roho yake Mtume (s.a.
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 20
Miongoni mwa sifa safi na bora na za kipekee za Qur’an Tukufu ni kwamba Qur’an hii ni Nuru inayomeremeta, na ni Mwanga utoao mwangaza, na ni yenye bayana, hoja, na dalili zilizokuwa wazi.Ni Kitabu kinachofichua siri za batini zisizokuwa dhahiri na kuziwek
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 21
Mwenyeezi Mungu (s.w) ameifanya “IMANI” kuwa ni kitu kitakacho watwaharisha wanaadamu kutokana na shirki ya kumshirikisha.Na akaifanya “SWALA” kuwa ni kitu kitakacho watakasa kutokana na kibri.Kisha akaifanya “ZAKA” kuwa ndio kitu kitakacho zitakasa nafsi
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 22
Mwenyeezi Mungu (s.w) amekataza kunywa pombe ya aina yoyote ile, kwa lengo moja tu nalo ni ili akuepushieni mambo mabaya,na machafu, mambo ya nafsi,na hilo ni kwa jili ya maslahi ya umma mzima.Na ametutaka tujiepushe na tabia ya kuwatuhumu watu kwa uovu w
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 23
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 23
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK
Mwenyeezi Mungu (s.w) amekataza kunywa pombe ya aina yoyote ile, kwa lengo moja tu nalo ni ili akuepushieni mambo mabaya,na machafu, mambo ya nafsi,na hilo ni kwa jili ya maslahi ya umma mzima.Na ametutaka tujiepushe na tabia ya kuwatuhumu watu kwa uovu w

Pages