FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 14

Neema za Allah (s.w) ni nyingi mno na ni pana kiasi kwamba ni vigumu kuzitaja zote na kuzihesabu.Atashindwa kuzihesabu mwenye kuzihesabu neema hizo.Tunachotakiwa sisi ni kumshukurua Mola wetu kwa Neema alizotupatia na kutuneemsha na kuzikumbuka neema hizo

Neema za Allah (s.w) ni nyingi mno na ni pana kiasi kwamba ni vigumu kuzitaja zote na kuzihesabu.Atashindwa kuzihesabu mwenye kuzihesabu neema hizo.Tunachotakiwa sisi ni kumshukurua Mola wetu kwa Neema alizotupatia na kutuneemsha na kuzikumbuka neema hizo.Kama alivyo sema Allah (s.w) katika suratul-Ahzabi Aya ya 9.

Add new comment