FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 15

Mwenyeezi Mungu amezifanya nyoyo za wanadamu kuwa ndizo zinazobeba Neno la Tawhidi au ndio zinazo beba matokeo ya Neno hili la zito la Tawhidi.Na hii ni kwa kuwa nyoyo ndizo zinazompwekesha Mwenyeezi Mungu (s.w).Mwenyezi Mungu (s.w) haonekani kwa macho la

Mwenyeezi Mungu amezifanya nyoyo za wanadamu kuwa ndizo zinazobeba Neno la Tawhidi au ndio zinazo beba matokeo ya Neno hili la zito la Tawhidi.Na hii ni kwa kuwa nyoyo ndizo zinazompwekesha Mwenyeezi Mungu (s.w).Mwenyezi Mungu (s.w) haonekani kwa macho lakini anaonekana kwa nyoyo.Kupitia fikra na mazingatio inakuwa rahisi kumuona Mola wetu kama vile kupitia kuvipitizama viumbe vyake alivyoviumba na jinsi alivyouumba ulimwengu na vyote vilivyo

Add new comment