FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 19

Mtume (s.a.w.w) baada ya kuufikisha vyema ujumbe wa Mwenyeezi Mungu (s.w) au ile amana aliyopewa na Mwenyeezi Mungu (s.w) kuifikisha kwa waja wake, kilichofuatia ilikuwa ni kuelekea kwa Mola wake Mtukufu ambapo Allah (s.w) aliichukua Roho yake Mtume (s.a.

Mtume (s.a.w.w) baada ya kuufikisha vyema ujumbe wa Mwenyeezi Mungu (s.w) au ile amana aliyopewa na Mwenyeezi Mungu (s.w) kuifikisha kwa waja wake, kilichofuatia ilikuwa ni kuelekea kwa Mola wake Mtukufu ambapo Allah (s.w) aliichukua Roho yake Mtume (s.a.w.w) uchukuaji wa upole na wa taratibu kabisa,kwa khiari,kwa mapenzi na kwa kuridhia kwake (s.a.w.w).

FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 19

Add new comment