FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 18

Mtume (s.a.w.w) pindi alipotumwa alikuta Umma ukiwa katika hali ya kugawanyika na kutofautiana,hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia masanamu,na hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia moto.Masanamu waliyoyachonga

Mtume (s.a.w.w) pindi alipotumwa alikuta Umma ukiwa katika hali ya kugawanyika na kutofautiana,hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia masanamu,na hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia moto.Masanamu waliyoyachonga kwa mikono yao na moto waliouwasha kwa mikono yao.Akatumwa Mtume (s.a.w.w) katika hali hiyo watu wakiwa katika giza la upotovu,akawaondoa katika giza hilo na kuwaweka katika nuru na mwangaza

Add new comment