SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA SAHIH BUKHARI NA MUSLIM Sehemu ya 3

Enyi mlioamini! Ni kwa nini mnayasema msiyoyatenda.Inachukiza vikubwa mno kwa Mwenyeezi Mungu kuwa mnayasema yale msiyoyatenda.Fatima (s.a) alifanya nini Abubakar alipokataa kumrudishia Fadak yake?!.Je,Abu Bakar alihudhuria Mazishi ya Sayyidat Fatima (s.a

Enyi mlioamini! Ni kwa nini mnayasema msiyoyatenda.Inachukiza vikubwa mno kwa Mwenyeezi Mungu kuwa mnayasema yale msiyoyatenda.Fatima (s.a) alifanya nini Abubakar alipokataa kumrudishia Fadak yake?!.Je,Abu Bakar alihudhuria Mazishi ya Sayyidat Fatima (s.a) au la?.Kwa nini Sayyida Fatma (s.a) alizikwa usiku na Kaburi lake halijulikani lilipo?!.

Add new comment