FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 17

Allah (s.w) alimchagua na kumteua Mtume Muhammad (s.a.w.w) na kumpa kazi ya Utume kabla ya kumchagua kuwa Mtume,na aliteuliwa kuwa Mtume wakati ule ambao viumbe vyote walikuwa hawajui lolote wala kufahamu lolote kuhusiana na mambo ya Ghaibu na walikuwa wa

Allah (s.w) alimchagua na kumteua Mtume Muhammad (s.a.w.w) na kumpa kazi ya Utume kabla ya kumchagua kuwa Mtume,na aliteuliwa kuwa Mtume wakati ule ambao viumbe vyote walikuwa hawajui lolote wala kufahamu lolote kuhusiana na mambo ya Ghaibu na walikuwa wamestiriwa kunako mambo hayo ya Ghaibu,ndipo akateuliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) ili kufanya kazi ya kuwafikishia ujumbe wa Mola wao Mlezi

 

 

Add new comment