FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 22
Mwenyeezi Mungu (s.w) amekataza kunywa pombe ya aina yoyote ile, kwa lengo moja tu nalo ni ili akuepushieni mambo mabaya,na machafu, mambo ya nafsi,na hilo ni kwa jili ya maslahi ya umma mzima.Na ametutaka tujiepushe na tabia ya kuwatuhumu watu kwa uovu w
Mwenyeezi Mungu (s.w) amekataza kunywa pombe ya aina yoyote ile, kwa lengo moja tu nalo ni ili akuepushieni mambo mabaya,na machafu, mambo ya nafsi,na hilo ni kwa jili ya maslahi ya umma mzima.Na ametutaka tujiepushe na tabia ya kuwatuhumu watu kwa uovu wa uzinzi ili hiyo iwe kinga ya kutukinga na laana ya Mwenyeezi Mungu (s.w).
Add new comment