فیلم

Falsafa ya Hijabu Sehemu ya nne.
1. Hijabu ya mwanamke katika maneno ya Mwenyezi Mungu. 2. Athari mbaya zinazopatikana katika suala la mwanamke kutostiri mwili wake hususan katika maisha ya jamii na ndoa kiujumla.
Upotoshwaji wa Qur’an Sehemu ya kwanza
1. Madhumuni na maana ya upotoshwaji wa Qur’ani. 2. Kauli za Maulamaa wa kisunni kuhusu shia na upotoshwaji wa Qur’ani. 3. Nani anayekanusha juu ya usahihi wa Qur’ani? Shia au Sunni?
Mfanano ulipo baina ya Uwahabi na khawaarij Sehemu ya kwanza
1. Kauli ya haki ikitumiwa mahala pa batili. 2. Mfanano mkubwa baina ya makundi mawili potofu. 3. Kuhamasisha watu kuhama Miji yenye nembo ya Uislam, kwa madai ya kuto amini misingi ya Dhehebu potofu la Kiwahabi.
Kumi waliobashiriwa pepo Sehemu ya pili.
Maulamaa wa pande Mbili kuhus hadithi ya masahab kumi kubashiriwa pepo.
Mfanano ulipo baina ya Uwahabi na khawaarij Sehemu ya pili
1. Ukali dhidi ya waislam wengine. 2. Kumfuata misingi ya Dhehebu lao. 3. Kauli mbiu ya kuwabagua Waislamu wengine.
Upotoshwaji wa Qur’an Sehemu ya pili
1. Kasoro ndani ya kitabu cha Mungu. 2. Je! Ni kweli mashie wanakanusha Qur’an tuliyo nay oleo hii. 3. Je! Uthaman ndiye mpangiliaji wa Qur’an hii ya leo.
Bibi Fatima baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w) Sehemu ya tatu
1. Abubakr ajutia 2. Fadak na hatma yake 3. Uhalilahsaji usiofaa na jawabu lake 4. Mas’haf ya Bibi Fatima (a.s) 5. Wasia wa Bibi Fatima (a.s)
Majibu ya shub’ha za Ahlusunna, hususan Mawahabi kuhusu kwamba; Je! Mtume aliacha wasia kunako Ukhalifa?
Majibu ya shub’ha za Ahlusunna, hususan Mawahabi kuhusu kwamba; Je! Mtume aliacha wasia kunako Ukhalifa?
Wajibu wa kumtii Mtume (saw) Sehemu ya kwanza
Bibi Fatima zahraa (a.s) Sehemu ya saba
SERA NA MIENENDO YA IMAM HUSSEIN Sehemu ya kumi na sita
Ni ipi tafauti kati ya uwahabi na usuni
IMAM MAHDI KATIKA RIWAYA
NDOA YA MUDA Sehemu ya kwanza
Utume na Mitume kwa mujibu wa nadharia ya Shia Sehemu ya kumi na tatu
Uwahabi katika mizani Sehemu ya kumi na nne

Pages